• Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Wednesday, September 27, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

    NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

    NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

    Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

    USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

TUNAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA SIKOSELI NCHINI – DKT. SHEKALAGHE

Dodoma

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
June 6, 2023
in NEWS
Reading Time: 1 min read
A A
0
TUNAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA SIKOSELI NCHINI – DKT. SHEKALAGHE
0
SHARES
3
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

ImageKatibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe mapema leo amekutana na timu ya wawakilishi kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS) wanaosimamia mradi wa Sikoseli nchini wakiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Appolinary Kamuhabwa.

Katika kikao hicho kilichofanyika kwenye ofisi za Wizara Jijini Dodoma Katibu Mkuu Dkt. Shekalaghe ameihakikishia timu hiyo juu ya kuendelea kuboresha Sekta ya Afya hususan katika utoaji wa huduma kwa wagonjwa wa Sikoseli nchini.

“Juhudi zinaendelea kufanywa na Serikali na wadau mbalimbali katika huduma za kuzuia na kudhibiti ugonjwa wa Sikoseli zikiwemo tafiti za kisayansi, upatikanaji wa matibabu ya hali ya juu kwa wagonjwa wa Sikoseli kama ubadilishaji damu na upandikizaji uloto.” Amesema Dkt. Shekalaghe

Aidha, wamejadiliana ukubwa wa ugonjwa wa Sikoseli nchini ambapo Mkurugenzi wa Jumuia hiyo Bi. Arafa amesema kuwa, watoto 11,000 hadi 14,000 huzaliwa na ugonjwa wa Sikoseli kila mwaka na inakadiriwa kuna jumla ya wagonjwa ni 200,000 wa Sikoseli nchini Tanzania.

Vile vile, timu hiyo imesema kuwa takribani asilimia 12 hadi 20 ya Watanzania wana vinasaba vya Sikoseli ambao wanaweza kupata watoto wenye ugonjwa wa s Sikoseli na kuongeza idadi ya wagonjwa wenye ugonjwa huo hapa nchini.

Timu hiyo iliyoongozwa na Prof. kamuhabwa ameambatana na Makamu Mkuu wa Chuo Elimu na Matafiti Mkuu wa Mradi wa Sikoseli Prof. Emmanuel Balandya, Mkurugenzi wa Jumuiya ya wagonjwa wa Sikoseli Tanzania Bi. Arafa Saidi, Watafiti katika mradi wa Sikoseli Dkt. Irene Minja, Dkt. Siana Nkya na Lulu ChirandeImageImage

Tags: HUDUMAWIZARA YA AFYAWIZARA YA MAENDELEO YA JAMII
ADVERTISEMENT
Previous Post

EPUKA TABIA HIZI HATARISHI UNAPOENDESHA GARI YAKO

Next Post

BODI YA CHAI NA TMX ZAINGIA MAKUBALIANO YA MNADA WA CHAI

ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

RelatedPosts

Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.
NEWS

by iamkrantz
September 6, 2023
0

  Vodacom M-Pesa na Precision Air waemingia ushirikiano ambao utawawezesha wateja kukata tiketi ya ndege kupitia applikesheni ya M-Pesa Super...

Read more
NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

September 6, 2023
Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

August 29, 2023
NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

August 22, 2023
Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

August 21, 2023
USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

August 17, 2023
Load More
Next Post
BODI YA CHAI NA TMX ZAINGIA MAKUBALIANO YA MNADA WA CHAI

BODI YA CHAI NA TMX ZAINGIA MAKUBALIANO YA MNADA WA CHAI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
CHUKUA HII: TEUZI KABAMBE YA WAKUU WA WILAYA WAPYA 2023

January 25, 2023
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
MECHI 3 ATAZOZIKOSA AZIZI KI

MECHI 3 ATAZOZIKOSA AZIZI KI

November 8, 2022
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In