
Benzema imeripotiwa kuwa atakuwa akipokea mshahara wa euro milioni 200 kwa mwaka zaidi ya Shilingi Bilioni 500 za Tanzania, Benzema amejiunga na Mabingwa wa Saudia.
Nyota huyo amejiunga katika Ligi ambayo anacheza Cristiano Ronaldo akiwa katika kikosi cha timu ya Al Nassr huku kukiwa na tetesi kuwa nae nyota wa zamani wa Barcelona anayekipiga mnamo klabu ya PSG Lionel Messi anaondoka katika timu hio na kwenda kujiunga na Al Hilal iliyopo Saudi Arabia pia.