Kupitia Kurugenzi ya Mawasilino Ofisi ya Rais Ikulu imeripotiwa kwamba Rais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania Mh Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi mpya na uhamisho wa Makatibu Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa.
Uteuzi na uhamisho huo upo hivi;