Klabu ya Manchester City ikiwa imemuwa kwenye harakati za kuwania nafasi ya kushinda taji hilo kwa miaka mingi hatimaye limefanikisha kwa msimu huu kutwaa kwa ushindi wa Goli 1-0 dhdi ya Inteer Milan kutokea nchini Italia katika mchezo wa Michuano ya Fainali ya Klabu Bingwa Barani Ulaya UEFA.
Wadau na Mashabiki wa Klabu hio walijawa na furaha sana kufuatia kutwaa taji hilo kwa mara ya kwanza licha ya kulipigani kwa kipindi cha muda mrefu.
Hivyo, klabu hio imepanga kufanya Gwaride (Parade) yake hapo Kesho kufuatia kutwaa Ubingwa wa Kombe la Klabu Bingwa Barani Ulaya “UEFA Champions League” huku ikiwa chini ya Kocha wao mkuu Pep Guardiola