Shirikisho la Viwanda nchini, CTI @TanzaniaCTI pamoja naTANTRADE @TanTradepage wametia saini makubaliano ya ushirikiano (MoU) katika kuandaa Maonesho ya Kimataifa ya Wenye Viwanda Tanzania (Tanzania International Manufacturers Expo 2023) ambayo yatajumuisha viwanda vya ndani na nje ya #Tanzania. #TIMEXPO2023
Ushirikiano huu kati ya #CTI na #TanTrade unalenga kukuza uhusiano wa sekta ya viwanda vya ndani na nje ya nchi. Kwa hivyo, kuwapa wenye viwanda jukwaa la #TIMEXPO ili waweze kukuza biashara, kujifunza teknolojia & utaalamu wa wengine duniani na kufanya ushirikiano wa kibiashara