Mtoto Goziberti Bwele (14) wa kikundi cha Ngoma za Asili cha Utandawazi Theater Group (Matwigachallo) kutoka Ukerewe akionesha umahiri wa kupiga ngoma kwenye Tamasha la Utamaduni wa Kisukuma Bulabo lililofanyika katika viwanja vya Red Cross, Ngomeni Kisesa tarehe 13 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpongeza mtoto Goziberti Bwele (14) wana kikundi cha Ngoma za Asili cha Utandawazi Theater Group (Matwigachallo) kutoka Ukerewe kutokana na umahiri wake wa kupiga ngoma kwenye Tamasha la Utamaduni wa Kisukuma Bulabo lililofanyika katika viwanja vya Red Cross, Ngomeni Kisesa tarehe 13 Juni, 2023. Tamasha la Bulabo huleta pamoja shughuli za Utamaduni na zile za dini.
Vikundi mbalimbali vya ngoma za asili kutoka maeneo ya Usukumani, ikiwemo Mwanza, Shinyanga, Geita, Simiyu vikitumbuiza katika Tamasha la Utamaduni wa Kisukuma Bulabo lililofanyika katika viwanja vya Red Cross, Ngomeni Kisesa, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023.
Shamrashamra za Tamasha la Utamaduni wa Kisukuma Bulabo lililofanyika katika viwanja vya Red Cross, Ngomeni Kisesa, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023.
Wakuu wa Mikoa ya Kanda ya Ziwa pamoja na viongozi wengine wakiwa kwenye Tamasha la Utamaduni wa Kisukuma Bulabo lililofanyika katika viwanja vya Red Cross, Ngomeni Kisesa, Magu Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2023.
Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.
Vodacom M-Pesa na Precision Air waemingia ushirikiano ambao utawawezesha wateja kukata tiketi ya ndege kupitia applikesheni ya M-Pesa Super...
Read more