• Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Tuesday, September 26, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

    NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

    NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

    Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

    USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

Marekani Yazindua Mpango Mpya wa Kukuza Sekta ya Mazao ya Bustani “Horticulture” Zanzibar

iamkrantz by iamkrantz
June 16, 2023
in Uncategorized
Reading Time: 3 mins read
A A
0
Marekani Yazindua Mpango Mpya wa Kukuza Sekta ya Mazao ya Bustani “Horticulture” Zanzibar
0
SHARES
33
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Marekani Yazindua Mpango Mpya wa Kukuza Sekta ya Mazao ya Bustani “Horticulture” Zanzibar

Leo, Serikali ya Marekani kupitia Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imezindua Mpango Mpya wenye lengo la kuimarisha mifumo ya soko na kilimo cha mazao ya bustani Zanzibar ili kukuza maendeleo ya kiuchumi. Mradi wa Feed the Future Tanzania Kilimo Tija Visiwani Unguja na Pemba utaongeza fursa za kiuchumi katika kilimo cha mazao ya bustani, na kuwawezesha vijana. Mradi huo unafanya kazi na sekta za umma na binafsi, taasisi zinazolenga vijana na wanawake, serikali kuu na za mitaa ili kuimarisha mifumo ya huduma, uzalishaji na soko la mazao ya bustani, na kufungua fursa za kiuchumi kwa vijana.

Uzinduzi huo umeongozwa na Mheshimiwa Spika wa Baraza la Wawakilishi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mheshimiwa Zuberi Ali Maulid pamoja na Mawaziri, na maafisa kutoka USAID. Uzinduzi wa mradi wa Feed the Future Tanzania Kilimo Tija visiwani Zanzibar unadhihirisha dhamira ya USAID katika kusaidia ukuaji wa uchumi kupitia sekta ya mazao ya bustani katika visiwa vya Unguja na Pemba.

Katika hotuba yake Mratibu wa Mpango wa Feed the Future kutoka USAID Tanzania Dkt. Tor Edwards alisisitiza juu ya ukuaji wa ushirikiano kati ya serikali ya Marekani na Tanzania, ambao unadhihirishwa na mafanikio ya sekta ya kilimo cha mazao ya bustani katika kuongeza upatikanaji wa vyakula vyenye lishe bora na kuinua wa uchumi wa Zanzibar.

“Muongo mmoja uliopita, Zanzibar ilikuwa ikiagiza mazao mengi ya bustani kutoka bara na vyanzo vingine, lakini sasa takribani asilimia 80 ya mazao ya bustani yanazalishwa Zanzibar,” alisema Dkt. Edwards. “Kilimo cha bustani Zanzibar kinashamiri na wakulima wanauza baadhi ya bidhaa katika hoteli za kitalii.”

Hafla hiyo ya uzinduzi pia ilihusisha makabidhiano ya pikipiki na vifaa vya kupima udongo kwa Maafisa Ugani wanaofanya kazi chini ya Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar. Mradi wa Kilimo Tija umetenga kiasi cha shilingi bilioni 2.3 ili kusaidia sekta ya kilimo cha mazao ya bustani Zanzibar kwa mwaka 2023/2024, nakuchochea maendeleo ya uchumi endelevu.Mpango huu unatarajiwa kunufaisha takribani wafanyabiashara wadogo na wa kati 500 na wakulima 8,000 visiwani humo.

Ukilenga kukuza kilimo katika Ukanda wa Kusini mwa Tanzania katika mikoa ya Iringa, Mbeya, Morogoro, na Njombe, pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba (Zanzibar), mradi wa USAID Kilimo Tija utaongeza fursa za uchumi endelevu na kuimarisha mifumo ya huduma za sekta ya mazao ya bustani hususani ukilenga zaidi vijana na wanawake. Mradi huo unafanya kazi na sekta ya umma, binafsi, taasisi zinazolenga vijana na wanawake, na serikali kuu na za mitaa ili kuimarisha mifumo ya huduma na soko katika sekta ya kilimo cha mazao ya bustani na kufungua fursa za kiuchumi hasa kwa vijana.

Katika kipindi cha mradi (Septemba 2022 – Septemba 2027), mradi unatarajia kusaidia biashara ndogo na za kati 2,500 na maelfu ya wakulima wadogo hasa vijana. Mpango huo pia unalenga kufikia ukuaji wa asilimia 15 wa mapato ya kila mwaka kwa makampuni yatakayoshiriki, zaidi ya dola 100,000 katika mauzo ya mazao ya wakulima wadogo, zaidi ya dola milioni 20 katika uwekezaji na kutengeneza ajira mpya 7,400.

Kwa taarifa zaidi wasiliana na kitengo cha habari Ubalozi wa Marekani kupitia DPO@state.gov.

ADVERTISEMENT
Previous Post

WAHAMASISHAJI MITANDAONI KUANZA KULIPA KODI

Next Post

UNCDF yazindua kampeni ya uhamasishaji iitwayo Anzia Jikoni

iamkrantz

iamkrantz

RelatedPosts

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!
Uncategorized

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

by iamkrantz
September 25, 2023
0

Tuliishi pamoja na mume wangu Kibet katika kaunti ya Lamu ambapo nilifanya kazi ya udaktari katika hospitali moja ya kibinafsi...

Read more
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
KISA ;Mke aliyenikimbia kisa sina fedha arejea mwenyewe na kuomba msamaha!

NMB yawa benki ya tatu kwa faida Afrika Mashariki

September 11, 2023
Load More
Next Post
UNCDF yazindua kampeni ya uhamasishaji iitwayo Anzia Jikoni

UNCDF yazindua kampeni ya uhamasishaji iitwayo Anzia Jikoni

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
MECHI 3 ATAZOZIKOSA AZIZI KI

MECHI 3 ATAZOZIKOSA AZIZI KI

November 8, 2022
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
MILIKI BODA BODA NA NMB MASTA BATA KOTE

MILIKI BODA BODA NA NMB MASTA BATA KOTE

November 18, 2022
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In