• Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Tuesday, September 26, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

    Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

    NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

    NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

    NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

    NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

    Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

    Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

    USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

    USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

VODACOM NA SILABU WASHIRIKIANA KUWEZESHA MASOMO MTANDAONI

Dar es Salaam

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
June 18, 2023
in NEWS
Reading Time: 3 mins read
A A
0
VODACOM NA SILABU WASHIRIKIANA KUWEZESHA MASOMO MTANDAONI

Kamishna wa Elimu - Wizara ya Elimu, Sayansi, na Teknolojia, Dr. Lyabwene Mutahaba (kushoto) akipata maelekezo kutoka kwa Mwanzilishi Mwenza wa SILABU, Adam Duma (kulia) namna applikesheni ya SILABU inavyofanya kazi ambapo alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wake kuwawezesha wanafunzi na watanzania kujifunza mtandaoni. Akifuatilia katikati ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania, Bi.Harriett Lwakatare, SILABU ni matokeo ya programu ya ‘Vodacom Digital Accelerator’, ambayo huzisaidia kampuni changa za kibunifu za kiteknolojia kutatua changamoto za kijamii.

0
SHARES
11
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Kamishna wa Elimu – Wizara ya Elimu, Sayansi, na Teknolojia, Dr. Lyabwene Mutahaba (kushoto) akipata maelekezo kutoka kwa Mwanzilishi Mwenza wa SILABU, Adam Duma (kulia) namna applikesheni ya SILABU inavyofanya kazi ambapo alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wake kuwawezesha wanafunzi na watanzania kujifunza mtandaoni. Wakifuatilia wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania, Bi.Harriett Lwakatare, na Mkurugenzi wa Huduma za Kidigitali, Bw. Nguvu Kamando kutoka Vodacom Tanzania. SILABU ni matokeo ya programu ya ‘Vodacom Digital Accelerator’, ambayo huzisaidia kampuni changa za kibunifu za kiteknolojia kutatua changamoto za kijamii.

Katika jitihada za kujenga jamii ya kidigitali inayounganisha sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii kwa ubunifu wa kiteknolojia, Vodacom Tanzania PLC kwa kushirikiana na SILABU wamezindua huduma itakayowarahisishia Watanzania kujifunza masomo na taaluma mbalimbali kwa ngazi tofauti nchini kwa njia ya mtandao muda na mahali popote walipo.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo uliofanyika katika ofisi za Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH), Kamishna wa Elimu – Wizara ya Elimu, Sayansi, na Teknolojia, Dr. Lyabwene Mutahaba amepongeza jitihada za Vodacom na SILABU kwa ubunifu wa huduma ya kujifunza mtandaoni inayoendana na mahitaji ya soko la elimu nchini na duniani kote kwa sasa.

“Elimu ya sasa haitulazimishi kuwepo moja kwa moja darasani ili tuweze kujifunza. Uwepo wa nyenzo za kidigitali unarahisishia wanafunzi na watu wa taaluma mbali mbali kujisomea na kujifunza kwa njia ya mtandao. Ongezeko la vifaa vya kidijiti kama simu janja, kompyuta na vishkwambi pamoja na miundominu ya intaneti vinaendelea kuwa chachu ya mapinduzi ya kidijitali katika sekta ya elimu. Niipongeze Vodacom kwa hatua hii kwani nimefahamishwa kuwa SILABU ni matokeo ya programu ya ‘Vodacom Digital Accelerator’, ambayo huzisaidia kampuni changa za kibunifu zinazotumia teknolojia kutatua changamoto zinazoikumba jamii yetu ya Watanzania,” alisema Dr. Mutahaba.

SILABU, awali ikifahamika kama Smart Class ni mojawapo ya kampuni zilizoshiriki kwenye awamu ya kwanza ya programu ya Vodacom Digital Accelerator na kuibuka mshindi wa jumla ikiwakilisha sekta ya elimu ambapo kampuni hii changa ilijikita kwenye kuwaunganisha wanafunzi na wakufunzi ili kujifunza kwa njia ya mtandao.

“Ningependa kutoa rai kwa wanafunzi na Watanzania wote kutumia vema majukwaa haya ya kidigitali kuweza kujisomea na kujifunza masomo mbali mbali ambayo mengine hayapatikani darasani. Serikali inafanya jitihada kubwa kuweza kushirikiana na sekta binafsi na haswa makampuni ya mawasiliano na teknolojia kama vile Vodacom kuhakikisha huduma bora za mawasiliano zinawafikia Watanzania wote hasa wa vijijini ili nao waweze kushiriki katika uchumi wa kidigitali,” alimalizia Kamishna wa Elimu – Wizara ya Elimu, Sayansi, na Teknolojia.

Akielezea kuhusu utekelezaji wa adhma ya Vodacom Tanzania ya kuipeleka Tanzania katika ulimwengu wa kidjitali na kubadilisha maisha kupitia teknolojia, Mkurugenzi wa Huduma za Kidigitali wa Vodacom Tanzania PLC, Bw. Nguvu Kamando ameelezea kuwa SILABU ni uthibitisho tosha kuwa vijana wa wakitanzania wana bunifu zenye tija na wanaweza kufika mbali endapo wakipewa fursa na hamasa ya kuzitekeleza.

“SILABU ni moja wapo ya matunda kutoka kwenye programu yetu ya Vodacom Digital Accelerator (VDA) ambapo tunazishindanisha kampuni changa bunifu zinazotumia teknolojia kuleta mageuzi kwenye sekta ya elimu, afya, kilimo, usafiri, fedha, biashara za mtandaoni nk. Kwa mfano, mwanzoni mwa mwaka huu tuliendesha programu kwa mafanikio makubwa ambapo kampuni 12 zilizofuzu zilipata fursa ya kuwasilisha bunifu zao mbele ya majaji wabobevu. Kati ya hizo, kampuni tatu ziliibuka washindi ambapo mbali na zawadi ya fedha, watapata pia mafunzo zaidi ili kuwawezesha kusimama na kuanza kuwahudumia Watanzania kama hivi tunavyoona kwa SILABU leo hii,” alimalizia Bw. Kamando.

Naye kwa upande wake Mwanzilishi Mwenza wa SILABU, Adam Duma alihitimisha kwa kufafanua kuwa, “SILABU inatoa wigo mpana wa kujifunza kupitia madarasa yenye masomo yanayokidhi mahitaji ya ngazi tofauti za elimu kuanzia elimu ya awali, msingi, sekondari, chuo kikuu, pamoja na kozi zinazomuwezesha mtu kujiongezea ujuzi na maarifa.

Tunarahisisha uchaguzi wa madarasa yanayofundisha masomo tofauti kuendana na ratiba ya mtu. Pia tunawawezesha wanafunzi kuchagua namna ya kujifunza aidha mtandaoni au ana kwa ana na mwalimu, akiwa mwenyewe au kwa kujiunga kwenye kikundi na wanafunzi wengine. Niwahakikishie kwamba walimu na wakufunzi wote waliounganishwa kwenye mtandao wetu ni wabobevu na wamethibitishwa na mamlaka husika, hivyo wana ujuzi na uzoefu kwa mafunzo wanayoyatoa kuwasaidia wanafunzi na kuboresha uelewa na ufaulu wao.”

Mwisho…

Tags: DAR ES SALAAMMASOMO MITANDAONISILABUVODACOMWIZARA YA ELIMU
ADVERTISEMENT
Previous Post

Transport Officer Job Vacancy at Puma Energy

Next Post

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 19, 2023

ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

RelatedPosts

Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.
NEWS

Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

by iamkrantz
September 6, 2023
0

  Vodacom M-Pesa na Precision Air waemingia ushirikiano ambao utawawezesha wateja kukata tiketi ya ndege kupitia applikesheni ya M-Pesa Super...

Read more
NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

September 6, 2023
Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

August 29, 2023
NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

August 22, 2023
Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

August 21, 2023
USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

August 17, 2023
Load More
Next Post
YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 19, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 19, 2023

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
MECHI 3 ATAZOZIKOSA AZIZI KI

MECHI 3 ATAZOZIKOSA AZIZI KI

November 8, 2022
WAZIRI MCHENGERWA AZINDUA BOTI YA KITALII YA TAWA SEA CRUSIER

WAZIRI MCHENGERWA AZINDUA BOTI YA KITALII YA TAWA SEA CRUSIER

March 16, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In