• Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Tuesday, September 26, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

    NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

    NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

    Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

    USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

EU, KENYA ZASAINI MKATABA JUU YA KUFANYA BIASHARA BILA USHURU

Kenya

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
June 19, 2023
in INTERNATIONAL NEWS
Reading Time: 2 mins read
A A
0
EU, KENYA ZASAINI MKATABA JUU YA KUFANYA BIASHARA BILA USHURU
0
SHARES
2
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Umoja wa Ulaya EU na Kenya zimehitimisha leo mazungumzo kuhusu mkataba kabambe wa kibiashara ambapo watatekeleza kwa pande mbili Mkataba wa Kikanda wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EPA) kati ya EU na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

Makubaliano hayo, ambayo yataleta msukumo muhimu kwa biashara ya bidhaa, yana vipengele muhimu vya maendeleo na ushirikiano na ni makubaliano ya kwanza na yenye matarajio makubwa zaidi ya kibiashara na nchi inayoendelea kuwa na ahadi kali juu ya uendelevu.

EU ni mshirika mkubwa wa pili wa kibiashara wa Kenya, na soko kuu la nje la Kenya. Jumla ya biashara kati ya EU na Kenya ilifikia Euro bilioni 3.3 mwaka wa 2022, na ongezeko la 27% ikilinganishwa na 2018.

Uagizaji wa EU kutoka Kenya ni Euro bilioni 1.2 na ni mboga, matunda na maua. Mauzo ya EU kwenda Kenya yanafikia €2.02 bilioni na ni bidhaa za madini, bidhaa za kemikali, na mashine. EU ni kituo cha kwanza cha mauzo ya nje kwa Kenya, ikiwa na 16% ya jumla ya mauzo yake katika 2022, ikifuatiwa na Uganda (12%) na Marekani (8%).

Kenya inatuma bidhaa zake za kilimo kama vile chai na kahawa maarufu nchini humo  na asilimia 70 ya maua yake kwa nchi za kigeni.

Waziri wa Biashara Moses Kuria aliitaja hatua hiyo kuwa “wakati wa fahari” kwa nchi, baada ya kutia saini Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa EU-Kenya (EPA) na Kamishna wa Biashara wa EU Valdis Dombrovskis.

EU ni mojawapo ya soko kubwa la Kenya na inauza takribani moja ya tano ya mauzo yake yote huko – inasheheni bidhaa nyingi za kilimo ikiwa ni pamoja na mboga mboga, maua , chai na kahawa.

Kenya pia inatarajiwa kupunguza vikwazo kwa bidhaa za Umoja wa Ulaya hatua kwa hatua.

Mkataba huu iliyotia saini Kenya, unafuatia majadiliano ya muda mrefu, ambapo tangu mwaka 2016 nchi wanachama za jumuiya ya Afrika Mashariki zilikataa kutia saini ushirikiano huu kwa kile zilisema utanufaisha zaidi Ulaya kuliko Afrika.

Source; EU

Tags: EUKENYA
ADVERTISEMENT
Previous Post

MSUVA AIPA MATUMAINI STARS KUFUZU AFCON

Next Post

Filamu ya Kwanza ya Kisayansi Tanzania kuzinduliwa rasmi Juni 23, 2023 katika Ukumbi wa Century Cinemax Mlimani City

ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

RelatedPosts

VIJANA WAPWEKE KULIPWA DOLA 500

VIJANA WAPWEKE KULIPWA DOLA 500

by ALFRED MTEWELE
April 14, 2023
0

Wizara ya Usawa wa Jinsia na Familia ya nchini Korea Kusini imetangaza kwamba itatoa Won 650,000 ($500) ambazo ni sawa...

Read more
META KUZIACHIA HURU AKANTI ZA TRUMP

META KUZIACHIA HURU AKANTI ZA TRUMP

January 26, 2023
Waziri Mkuu wa New Zealand Atangaza Kujiuzulu

January 20, 2023
YASTAAJABISHA: Marais 6 Waliongoza Taifa Moja Ndani ya miaka 4

December 12, 2022
RIPOTI YA TUHUMA KWA RAIS KUBATILISHWA

RIPOTI YA TUHUMA KWA RAIS KUBATILISHWA

December 6, 2022
Joe Biden aahidi ‘Hakuna Vita Baridi Vipya’ na China

November 15, 2022
Load More
Next Post
Filamu ya Kwanza ya Kisayansi Tanzania kuzinduliwa rasmi Juni 23, 2023 katika Ukumbi wa Century Cinemax Mlimani City

Filamu ya Kwanza ya Kisayansi Tanzania kuzinduliwa rasmi Juni 23, 2023 katika Ukumbi wa Century Cinemax Mlimani City

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
WAZIRI MCHENGERWA AZINDUA BOTI YA KITALII YA TAWA SEA CRUSIER

March 16, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
MECHI 3 ATAZOZIKOSA AZIZI KI

MECHI 3 ATAZOZIKOSA AZIZI KI

November 8, 2022
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In