Uongozi wa klabu ya Simba umeujulisha umma kuwa hatutaendelea kuwa na mlinda mlango , Beno Kakolanya kwa msimu ujao baada ya mkataba wake kumalizika.
Kakolanya alikuwa Mlinda lango nambari 2 ndani ya kikosi cha Wanamsimbazi hao, huku nambari 1 akiwa Aishi Manula ambaye pia anadakia Timu ya Taifa ya Tanzania na 3 ni Ally Salim Khatoro.
KoncepttvUpdates.