Chelsea yakataa Ofa ya Manchester United iliyolenga kunasa saini ya Nyota wao Mason Mount kupitia Dirisha kubwa la Usajili msimu huu ambapo timu zipo katika kipindi cha Mapumziko kuelekea Msimu Mpya
Ikumbukwe kuwa Chelsea walitangaza dau la Pauni Milioni 70 kwa timu yoyote itakayotaka kunasa saini ya Mount kuoka kikosi chao.
Man U haijataka panda dau zaidi ya Pauni Milioni 50 ili kumpata nyota huyo licha ya kuwa na uhitaji mkubwa wa kutaka kumsajili.
Chelsea ni miongoni mwa Klabu zinazoongoza katika kuuza na kuachana na baadhi ya Nyota wake kwa kipindi hiki cha Usajili