• Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Tuesday, September 26, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

    Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

    NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

    NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

    NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

    NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

    Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

    Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

    USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

    USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

HUDUMA YA NBC CONNECT YAFIKA MKOANI DODOMA

Dodoma

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
June 24, 2023
in BUSINESS NEWS
Reading Time: 3 mins read
A A
0
HUDUMA YA NBC CONNECT YAFIKA MKOANI DODOMA
0
SHARES
1
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

No alt text provided for this imageMakampuni pamoja na taasisi mbali mbali  ambazo ni wateja wa Benki ya Taifa ya Biashara ya (NBC) mkoani Dodoma, sasa wanaweza kupata uzoefu mpya wa huduma za kibenki kupitia huduma ya kibenki kwa njia ya kidigitali inayojulikana kama ‘NBC Connect’NBC

Connect, ni huduma ya kisasa ya kidigitali kwa makampuni na taasisi mbali mbali, ambayo huwezesha huduma salama za kibenki kufanyika sehemu yoyote, muda wowote kwa njia ya mtandao.

Huduma hii ni sehemu ya mchango wa benki katika kuunga mkono jitihada za Serikali za kuongeza ujumuifu katika huduma za kifedha (financial inclusion) kwa makundi mbali mbali.

Uzinduzi wa huduma ya NBC Connect Dodoma, ni wa tatu baada ya uzinduzi uliofanyika kanda ya nyanda za juu kusini jijini Mbeya na wa Kanda ya ziwa uliofanyika Mwanza.

Kupitia NBC Connect, wateja wenye makampuni na taasisi zilizopo mkoani Dodoma na maeneo ya  jirani, wataweza  kufanya miamala yao ya kifedha kwa urahisi zaidi na kupata uzoefu  mpya.

Huduma itawapa wateja uwezo wa kufanya miamala kirahisi ikiwa ni pamoja na malipo ya ndani na nje ya nchi, malipo ya Serikali pamoja na malipo kwa mkupuo bila kuchukua muda kwa kutumia simu au kompyuta. Wateja pia wataweza kupata taarifa za miamala waliyofanya popote pale walipo pasipo kulazimika kwenda benki.

NBC Connect imebuniwa kwa teknalojia ya kisasa na yenye usalama wa hali ya juu ambayo imezingatia na kutoa kipaumbele kwenye usiri wa taarifa za mteja. Ubunifu wa huduma hiyo huakikisha taarifa za kifedha za wateja zinalindwa wakati wote.

Akiongea wakati wa uzinduzi huo, Meneja wa NBC tawi la Dodoma Japhet Fungo alisema, “Tunafuraha kutambulisha NBC Connect kwa wakazi wa Dodoma na maeneo ya jirani. Mfumo huu wa kibenki wa kidigitali ni uthibitisho wa dhamira ya kuwapatia wateja wetu huduma  bora za kibenki ambazo ni rahisi, salama, na kukidhi mahitaji ya yao. NBC Connect itawawezesha wateja wetu wenye makampuni na taasisi mbali mbali  kufanya huduma za kibenki popote pale, wakati wowote, na kufurahia huduma hizo bila matatizo.”

Pamoja na huduma rahisi na za kisasa, NBC Connect itatoa usaidizi binafsi kwa wateja kupitia kituo chake cha huduma kwa wateja ambapo mameneja wetu wanapatikana ili kuwasaidia wateja kulingana na mahitaji yao nakutoa mwongozo wa jinsi ya kutumia huduma hilo kwa ufanisi.”

Tunawaalika wateja wetu wote wa Dodoma na maeneo ya jirani  wajionee urahisi na usalama wa NBC Connect. Ni huduma ambayo inaleta mapinduzi mapya kwenye namna ambavyo huduma za kibenki zinatolewa. Tuna uhakika  kuwa wateja wetu watafaidika nayo kwa kiasi kikubwa , “aliongeza

Mgeni rasmi katika uzinduzi huo Katibu Tawala wa Mko wa Dodonma Ally Gugu aliishukuru Benki ya NBC kwa ubunifu wao mzuri na kuwahimiza wateja kutumia mfumo huo mpya wa kibenki ili kurahisisha shughuli zao za kibenki.

“Uzinduzi wa NBC Connect Dodoma unawakilisha mpango mkakati wa upanuzi wa benki ya NBC ili kufikia taasisi mbali mbali  na kuchangia ukuaji wa uchumi wa nchi.

Benki ya NBC inasifika kwa dhamira yake ya kuwajibika kwa jamii, ikiwa ni pamoja na kusaidia jamii kupitia mipango mbalimbali, kama vile Mbio za Kimataifa za NBC Dodoma Marathon zinazohamasisha matibabu ya saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake, msaada wa afya ya uzazi kupitia kliniki zinazotembea, programu za elimu ya kifedha, uwezeshaji wa vijana. kupitia udhamini wa Ligi Kuu ya NBC, hakika napongeza juhudi hizi zinazofanywa na NBC” alisema

MWISHO……….No alt text provided for this imageKatibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Ally Gugu (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa meneja wa benki ya NBC tawi la Dodoma Japhet Fungo muda mfupi baada ya uzinduzi wa huduma ya NBC Connect katika Hafla ya Uzinduzi wa huduma hiyo iliyofanyika jijini Dodoma.No alt text provided for this imageMgeni rasmi katika uzinduzi wa huduma ya NBC Connect,Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Ally Gugu (watatu kulia)akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa benki ya NBC na baadhi ya wateja walioalikwa kwenye uzinduzi wa huduma ya NBC Connect inayowezesha kufanya miamala kwa urahisi kwa njia ya kidigitali. Hafla hiyo imefanyika jijini DodomaNo alt text provided for this imageBaadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia uzinduzi wa huduma ya NBC Connect inayowezesha kufanya miamala kwa urahisi kwa njia ya kidigitali. Hafla ya uzinduzi wa huduma hiyo ilifanyika jijini Dodoma

Kuhusu Benki ya NBC: Benki ya NBC ni taasisi ya kifedha inayoongoza nchini Tanzania inayotoa bidhaa na huduma mbalimbali za kibenki kwa watu binafsi, wafanyabiashara na jamii. Kwa kujitolea kwa dhati kwenye suala la huduma kwa wateja, uvumbuzi, na uwajibikaji wa kijamii, NBC Connect inalenga kuwa mshirika wa benki anayeaminika kwa watu binafsi na biashara Tanzania nzima.

Tags: DAR ES SALAAMNBC BANKWIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
ADVERTISEMENT
Previous Post

CHELSEA YAKATAA OFA YA MAN U KUMUUZA MOUNT

Next Post

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 25, 2023

ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

RelatedPosts

Mke asimulia kwa uchungu Karaha alizopata kwenye Ndoa yake..SOMA KISA KIZIMA HAPA
BUSINESS NEWS

Mke asimulia kwa uchungu Karaha alizopata kwenye Ndoa yake..SOMA KISA KIZIMA HAPA

by iamkrantz
August 30, 2023
0

Mume alikuwa anakula Tunda mara moja kwa wiki ila sasa ni kila siku jamani! Jina langu ni Anna, tulifunga ndoa...

Read more
NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

August 22, 2023
Rais Samia: Hongereni NMB kwa mchango wenu katika Sekta ya Kilimo!

Rais Samia: Hongereni NMB kwa mchango wenu katika Sekta ya Kilimo!

August 8, 2023
Kamati ya Bunge yatembelea Banda la NMB Nane Nane jijini Mbeya

Kamati ya Bunge yatembelea Banda la NMB Nane Nane jijini Mbeya

August 8, 2023
EASTL YATAMBULISHA BIA MPYA ‘GOLDBERG na HANSON’S LITE, MKESHA WA MWENGE BURUDANI MTUPU

EASTL YATAMBULISHA BIA MPYA ‘GOLDBERG na HANSON’S LITE, MKESHA WA MWENGE BURUDANI MTUPU

July 29, 2023
Vodacom yaibuka Kinara katika Teknolojia Miongoni mwa Makampuni ya Vodacom Barani Afrika

Vodacom yaibuka Kinara katika Teknolojia Miongoni mwa Makampuni ya Vodacom Barani Afrika

July 27, 2023
Load More
Next Post
YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 25, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JUNI 25, 2023

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
MECHI 3 ATAZOZIKOSA AZIZI KI

MECHI 3 ATAZOZIKOSA AZIZI KI

November 8, 2022
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
MILIKI BODA BODA NA NMB MASTA BATA KOTE

MILIKI BODA BODA NA NMB MASTA BATA KOTE

November 18, 2022
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In