Huenda msimu ujao pale ndani ya Kikosi cha Simba SC akatua Golikipa wa Kibrazil Caique Luiz Santos da Purificacao (25).
Kama mipango itakaa baina ya Klabu hio na upande wa pili wa golikipa huyo basi kipa huyo ndiye atakayesimama kuziba nafasi ya Aishi Manula ambaye vipimo vinaonyesha atachelewa kurejea uwanjani. #KoncepttvUpdates