Meneja habari na Mawasiliano Simba SC Ahmed Ally amefunguka juu ya Ujio wa Jezi mpya kwaajiri ya klabu hio chini ya udhamini mpya wa Kampuninya Sandaland iliyoingia nayo makubaliano ya Kuzalisha na Kusambaza Jezi zake.
Jezi hizo ni mpya kwa ajili ya kutumika katika Michuano ya Soka Msimu Ujao 2023/24
Akiongea kwa bashasha amewatoa wasiwasi Mashabini na Wadau wote kuwa Jezi zipo za kutosha hivyo hakuana tena Shabiki atakayelalamika kukosa Jezi hizo za msimu mpya labda kila Shabiki akinunua Jezi zaidi ya 2000 peke yake ndipo changamoto ya kukosekana kwa jezi kwa mashabiki baadhi inaweza jitokeza.
“Watu wa Bandarini wameshtuka baada ya kuona kontena nyingi ya jezi za Simba” Ahmed Ally -Meneja Habari na Mawasiliano Simba SC
Watu wa Bandarini wameshtuka baada ya kuona kontena nyingi ya jezi za Simba pic.twitter.com/RUDji45l05
— Ahmed Ally (@ahmed__ally) June 28, 2023