Mwanamke wa Ufaransa, Ivanna Bay pia amemshutumu nyota wa muziki wa Nigeria, Davido kwa kumpa ujauzito.
Haya yamejiri saa chache baada ya mwanamke wa Marekani kuweka hadharani kuhusu ujauzito wake wa Davido na “risiti”.
Ivanna alituma sehemu ya maongezi aliyodai aliyafanya na mwimbaji huyo wa Nigeria ili kudhihirisha madai yake ya kupewa mimba naye. Pia aliambatanisha na video yake akipima mimba ambayo ilithibitisha kuwa ni mjamzito.
Cc; LindaIkenjiBlog (LIB)