Gwiji wa Bayern Munich na mshindi wa Kombe la Dunia Jerome Boateng na winga wa timu ya Taifa ya Ufaransa na Bayern Munich Kingsley Coman wanatembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Hii inadhihirisha pia Matokeo chanya yanayotokana na Filamu ya “Royal Tour” iliyohamasishwa na Rais wa nchini Tanzania Mh Dkt. Samia Suluhu katika kuhakikisha kuitangaza sekta ya Utalii Duniani.