• Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Wednesday, September 27, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

    Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

    NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

    NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

    NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

    NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

    Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

    Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

    USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

    USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

Promosheni ya NMB Bonge la Mpango, washindi wakabidhiwa zawadi zao

iamkrantz by iamkrantz
July 8, 2023
in Uncategorized
Reading Time: 5 mins read
A A
0
Promosheni ya NMB Bonge la Mpango, washindi wakabidhiwa zawadi zao
0
SHARES
6
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Temeke, Kidawa Masoud (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi ya Runinga mfanyabiashara wa Kariakoo, Jackson Mbilinyi, wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa Promosheni ya mwisho ya Bonge la Mpango – Moto ni Uleule iliyofanyika kwenye Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es Salaam Julai 7, 2023. Wengine wakishuhudia ni wafanyakazi wa benki hiyo. (Na Mpiga Picha Wetu).

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Dismas Prosper (kushoto) na Mkuu wa Idara ya Mtandao wa Matawi wa Benki ya NMB, Donatus Richard (kulia), wakikabidhi kadi za pikipiki kwa washindi Sudi Rashid (wa pili kushoto) na Michael Mhando wa pili kulia) wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi za Promosheni ya mwisho ya Bonge la Mpango –  Moto ni Uleule iliyofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam Julai 7, 2023. 

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Dismas Prosper, akimkabidhi zawadi ya mashine ya kufulia mshindi wa Promosheni ya Bonge la Mpango – Moto ni Uleule, Hamza Hamood Mohamed, katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi iliyofanyika kwenye viwanja vya Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es Salaam Julai 7, 2023.

Mkuu wa Idara ya Mtandao wa Matawi wa Benki ya NMB, Donatus Richard (wa pili kulia) akimkabidhi kadi ya Pikipiki ya magurudumu matatu (Guta), Hidaya Shomari, wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa Promosheni ya Bonge la Mpango – Moto ni Uleule. Kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Dismas Prosper na kulia ni Meneja wa NMB Tawi la Temeke, Kidawa Masoud. (Na Mpiga Picha Wetu).

Mkuu wa Idara ya Mtandao wa Matawi wa Benki ya NMB, Donatus Richard (wa pili kulia) akimkabidhi kadi ya Pikipiki ya magurudumu matatu (Guta) mwakilishi wa wafanyabiashara kutoka mkoani Manyara, Yusuph Mbaya. Kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Dismas Prosper na kulia ni Meneja wa NMB Tawi la Temeke, Kidawa Masoud. 

Washindi wa Promosheni ya mwisho ya Bonge la Mpango – Moto ni Uleule, Sudi Rashid (wa pili kushoto) na Michael Mhando (wa pili kulia) wakiwa na furaha baada ya kukabidhiwa zawadi za pikipiki walizoshinda katika promosheni hiyo. Kushoto ni Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Dismas Prosper na kulia ni Mkuu wa Idara ya Mtandao wa Matawi wa Benki ya NMB, Donatus Richard.

Mkazi wa jijini Mwanza, Nande Tulimwanye, akionesha furaha yake baada ya kupokea zawadi ya Pikipiki ya magurudumu matatu (Guta) aliyojishindia katika Promosheni ya mwisho ya Bonge la Mpango – Moto ni Uleule iliyofanyika katika viwanja vya Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es Salaam Julai 7, 2023. Kushoto ni Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Temeke, Kidawa Masoud na wa pili kulia ni Mkuu wa Idara ya Mtandao wa Matawi ya Benki ya NMB, Donatus Richard. 

Na Mwandishi Wetu

Jumla ya washindi 22 wa Kampeni ya uhamasishaji wa kuweka akiba ya Benki ya NMB ‘Bonge la Mpango’ wamekabidhiwa zawadi zao jijini Dar es Salaam.

Zawadi zilizokabidhiwa leo ni pamoja na bajaji za mizigo tano zenye thamani ya shilingi millioni 25, pikipiki 11 zenye thamani ya shilingi millioni 33, friji (jokofu) la kisasa la milango miwili, Smart Tv, mashine ya kufulia nguo, Laptop, simu ya Samsung Z Flip pamoja na simu ya iphone 14 ProMax.

Akizungumza wakati wa kukabidhi zawadi hizo Mkuu wa Mtandao wa Matawi na Mauzo ya Rejareja wa Benki ya NMB, Donatus Richard alisema kampeni ya benki hiyo ilikuwa na lengo kuu la kuhamasisha uwekaji wa akiba na ililenga kukuza utamaduni wa kuweka akiba kwa wateja wake.

Richard alisema katika droo za awali za kampeni hiyo, benki yake ilitoa zawadi za shilingi milioni 110 kwa wateja wake 178 wakati wa kampeni hiyo iliyozinduliwa mnamo tarehe 29 Machi, 2023.

“Ili kurudisha faida tunayoipata kama benki kwa wateja wetu, tulizindua promosheni hii Tarehe 29 Machi na tumeshuhudia zawadi za pesa taslimu, vifaa mbalimbali vya kielektroniki zikiwemo friji, TV, pikipiki huku zawadi za pesa zikiwekwa katika akaunti za washindi, lengo likiwa    kuhamasisha wateja kuendelea kuwa na akiba katika akaunti zao,” alisema Richard.

Kampeni hiyo ya uhamasishaji wa kuweka akiba ya Benki ya NMB iliyopewa jina la ‘Bonge la Mpango’ Msimu wa Tatu ilifikia kilele Julai 5, 2023 na kuwafanya wateja wenye bahati kushinda zawadi nono zenye thamani ya shilingi milioni  69.5 wakati wa droo kubwa ya kampeni hiyo iliyofanyika kwenye banda la benki hiyo katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

ADVERTISEMENT
Previous Post

SIMBA SC YANASA SAINI YA NYOTA HUYU TISHIO YANGA

Next Post

AIR TANZANIA CARGO YAANZA SAFARI ZAKE RASMI

iamkrantz

iamkrantz

RelatedPosts

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!
Uncategorized

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

by iamkrantz
September 25, 2023
0

Tuliishi pamoja na mume wangu Kibet katika kaunti ya Lamu ambapo nilifanya kazi ya udaktari katika hospitali moja ya kibinafsi...

Read more
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
KISA ;Mke aliyenikimbia kisa sina fedha arejea mwenyewe na kuomba msamaha!

KISA ;Mke aliyenikimbia kisa sina fedha arejea mwenyewe na kuomba msamaha!

September 15, 2023
NMB yawa benki ya tatu kwa faida Afrika Mashariki

NMB yawa benki ya tatu kwa faida Afrika Mashariki

September 11, 2023
Load More
Next Post
AIR TANZANIA CARGO YAANZA SAFARI ZAKE RASMI

AIR TANZANIA CARGO YAANZA SAFARI ZAKE RASMI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
CHUKUA HII: TEUZI KABAMBE YA WAKUU WA WILAYA WAPYA 2023

CHUKUA HII: TEUZI KABAMBE YA WAKUU WA WILAYA WAPYA 2023

January 25, 2023
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
MECHI 3 ATAZOZIKOSA AZIZI KI

MECHI 3 ATAZOZIKOSA AZIZI KI

November 8, 2022
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In