Klabu ya Simba imemsajili aliyekuwa Mshambuliaji wa ASEC Mimosas, Aubin Kramo kutoka Ivory Coast kwa mkataba wa miaka miwili.
Kramo ambaye katika msimu uliopita kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika aliweza tikisa nyavu mara nne (4) katika mechi kumi alizocheza huku akiwasaidia wakali wa soka hao wa Ivory Coast kufika hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo.
#KoncepttvUpdates