Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga SC, Simon Patrick (@simon.esq ) amechaguliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kuwa mwanasheria wa FIFA kusaidia masuala ya kiaheria kwa wachezaji Duniani.
Simon Patrick atahudumu kwenye nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka mitatu kama mwanasheria wa FIFA kutatua masuala ya kisheria ya wachezaji.
#KoncepttvUpdates