• Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Wednesday, September 27, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

    NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

    NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

    Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

    USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

Mainstream Media yapongezwa kwa uwekezaji Kigoma

iamkrantz by iamkrantz
July 10, 2023
in Uncategorized
Reading Time: 2 mins read
A A
0
Mainstream Media yapongezwa kwa uwekezaji Kigoma
0
SHARES
1
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji Bi. Mwantum Mgonja

Na Mwandishi Wetu

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji Bi. Mwantum Mgonja ameipongeza kampuni ya Mainstream Media Limited kwa uwekezaji mkubwa uliofanywa katika mkoa wa Kigoma.Pongezi hizo zimetolewa baada ya kampuni hiyo  kuanzisha kituo che redio cha Main Fm 91.7 ambayo kimelenga kutoa habari na taarifa katika mambo mbalimbali ya kimaendeleo yanayofanywa  ndani ya mkoa wa Kigoma

Bi. Mwantum ameyasema hayo wakati wa mahojiano katika studio za Main Fm kwenye tukio la kuwasha kipaza sauti (mic) kwa mara ya kwanza.Mkurugenzi huyo alisema serikali imetoa fedha  kwa ajili ya kujenga na kuboresha miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya manispaa ya Kigoma Ujiji katika sekta mbalimbali hususani afya na elimu   na  pia akaongeza  kusema redio hiyo itasaidia kutoa taarifa za aina hiyo kwa umma huku akishukuru kwa kupata fursa ya kuw wa kwanza  kukizindua kito hicho.

Aidha mkurugenzi huyo pia alipata fursa ya kutoa ufafanuzi juu ya mambo mbali mbali ambapo alisema kuwa mfuko wa maendeleo ya vijana unafanyiwa marekebisho na kuwataka vijana wa Mkoa wa Kigoma kuendelee kusikiliza vyombo vya habari hususani Main fm 91.7 kwa ajili ya kujua fursa mbalimbali zinazopatikana ndani ya mkoa wa Kigoma ikiwemo mikopo nafuu inayotolewa na serikali kwa ajili ya kuwainua vijana kiuchumi.

Mwantum aliambatana na diwani viti maalum kata ya Mwanga Kusini,mtendaji wa kata ya Mwanga Kusini na mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa kilimahewa pamoja na wadau mbalimbali kutoka  ndani ya mkoa wa  Kigoma.Zoezi hili ya Kuwasha Kipaaza sauti (Mic) kwa mara ya kwanza lilifanyika Tarehe 10 Julai 2023.

Mainstream Media Limited, pamoja na uwekezaji huo pia wametoa fursa za ajira kwa Watangazaji na wadau wa tasnia ya habari  kutoka maeneo mbali mbali hapa nchini ili kuhakikisha kuwa kituo chao hicho kinafikisha ujumbe kwa urahisi na haraka zaidi kote duniani.

Zoezi la kuwasha Vipaaza sauti (Mic) lilienda sambamba na kuwaruhusu wasikilizaji wa redio hii duniani kote kuisikiliza kupitia kwenye Masafa ya 91.7 FM Kigoma na kupitia kwenye tovuti ya Main FM (www.mainfm.co.tz)

Pia Meneja wa kituo Bw. Felician hulilo, alisema kuwa Main FM imeanzia Kigoma lakini menejimenti yake imelenga kuipeleka redio hii katika mikoa yote ya Tanzania.

ADVERTISEMENT
Previous Post

YANGA YAPOKEA BONASI YA MILIONI 4O5 KUTOKA SPORTPESA

Next Post

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JULAI 11, 2023

iamkrantz

iamkrantz

RelatedPosts

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!
Uncategorized

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

by iamkrantz
September 25, 2023
0

Tuliishi pamoja na mume wangu Kibet katika kaunti ya Lamu ambapo nilifanya kazi ya udaktari katika hospitali moja ya kibinafsi...

Read more
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
KISA ;Mke aliyenikimbia kisa sina fedha arejea mwenyewe na kuomba msamaha!

NMB yawa benki ya tatu kwa faida Afrika Mashariki

September 11, 2023
Load More
Next Post
YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JULAI 11, 2023

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JULAI 11, 2023

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
CHUKUA HII: TEUZI KABAMBE YA WAKUU WA WILAYA WAPYA 2023

January 25, 2023
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
MECHI 3 ATAZOZIKOSA AZIZI KI

MECHI 3 ATAZOZIKOSA AZIZI KI

November 8, 2022
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In