• Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Thursday, September 21, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

    NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

    NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

    Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

    USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

ZAIDI YA HEKARI 400 ZA MASHAMBA YA MIRUNGI ZATEKETEZWA

Kilimanjaro

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
July 10, 2023
in NEWS
Reading Time: 2 mins read
A A
0
ZAIDI YA HEKARI 400 ZA MASHAMBA YA MIRUNGI ZATEKETEZWA
0
SHARES
9
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

ImageHekari 535 za mashamba ya mirungi zimeteketezwa katika oparesheni maalum ‘Tokomeza Mirungi’, iliyoanzia kutekelezwa ndani ya vijiji vya Rikweni, Heikondi, Tae na Mahande, WIlayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro.

Oparesheni hiyo inafanywa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) ikishirikiana kwa karibu na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama likiwamo Jeshi la Polisi Tanzania.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kamishna Jenerali wa DCEA Aretas Lyimo amesema katika oparesheni hiyo jumla ya watuhumiwa saba wamekamatwa.

Amesema mirungi ni mojawapo ya dawa za kulevya zilizokatazwa nchini kwani ina athari nyingi kwa binadamu, kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiafya.

“Inasababisha saratani ya koo, utumbo na uraibu, mtindio wa ubongo, kiuchumi inasababisha nchi inakosa mapato kwa sababu wengi wanaolima mirungi Kata hii na eneo hili la Same hawaingizii mapato yoyote Serikali,” amesema.

“Lakini pia tunahakikisha kwamba kwenye mikataba ya kimataifa ambayo tuliingia mwaka 1961, 1971 na 1986 inatutaka nchi yoyote iliyoingia ile mikataba ihakikishe inafanya oparesheni katika maeneo yake yote.

“Ili kuhakikisha kwamba inatokomeza kabisa suala la dawa za kulevya katika nchi husika, pia lazima ioneshe juhudi inazofanya katika kutokomeza dawa za kulevya kwa wananchi na jamii nzima. “

.., na dunia iweze kuona kuwa kazi inayofanywa na nchi husika katika kutokomeza dawa za kulevya”,amesema. Kamishna Lyimo amesema kwa sababu hiyo ndiyo maana DCEA imepiga kambi mkoani humo kwa ajili ya oparesheni hiyo kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya Dola.

Amesema hekari hizo zimeteketezwa kwa muda wa siku nane kuanzia Julai 2 hadi 9, mwaka huu.

“Kwa hiyo niwashukuru wote ambao tunashirikiana nao katika oparesheni hii, tuwaombe wananchi wote kama alivyoagiza Rais Samia Suluhu Hassan, viongozi wote wa Serikali, mkoa, wilaya, vijiji na Kata.

“Tushirikiane kuhakikisha tunatokomeza dawa za kulevya, mashamba yote hususan katika eneo hili la Wilaya ya Same, lakini pia tuhakikishe kwamba tunaijengea Serikali uwezo wa kuweza kufanya shughuli zake.”,amesema.

Kamishna Lyimo amesisitiza “Tumekuja eneo hili tumeona Serikali ilivyojenga miundombinu, maji yapo ya kutosha, imeweka miundombinu ya umeme, barabara inatumia kodi za watu wengine kuja kuweka miundombinu huku.

“Wakati huku wao wanalima mirungi na hawaingizii Serikali Pato lolote na madhara yanayopatikana kwa wananchi, kwa jamii na mtu mmoja mmoja ni mzigo kwa Serikali pia.

Ameongeza “Tumeona hekari nyingi imetushangaza, hatukutegemea kuna hekari kubwa kiasi hiki hadi tunachukua vikosi vya Jeshi JKT kuja kufanya oparesheni hii na kununua mashine za kuteketeza kutokana na ukubwa wa hili eneo.

Amesema , kesho (Jumatatu}, tutakuwa na mkutano mkubwa ili kuwaelimisha wananchi juu ya madhara ya kilimo cha mirungi, ili waweze kuacha kilimo hiki na kwenda kulima kilimo mbadala.

Ameiasa jamii yote kwa ujumla, viongozi wa dini, kimila, Serikali kuanzia ngazi ya vitongoji, vijiji, kata na mkoa wote kushirikiana na DCEA kutokomeza biashara ya dawa za kulevya.

“Tanzania inawezekana kuwa salama kwa kutokuwa na dawa za kulevya, Sheria pia imetutaka kwamba ukishakamata shamba limelima dawa za kulevya inaruhusu kutaifisha shamba hilo,.

“Tuiombe jamii tukishaanza kutaifisha mashamba yao, watakosa hata maeneo ya kulima, kuanzia sasa tutaanza kuitekeleza, tukikuta shamba lako limelima bangi, mirungi tunataifisha. “

.., na mali zote zilizopatikana kwa kilimo hicho zinataifishwa kwa hiyo tuwaombe wananchi wasije wakaingia kwenye wimbi la umaskini, waachane kabisa na dawa za kulevya,” ametoa rai.Image

Tags: KILIMANJAROMIRUNGIWIZARA YAwizara ya mambo ya ndani
ADVERTISEMENT
Previous Post

YALIYOJIRI KWENYE MAGAZETI YA LEO JULAI 10, 2023

Next Post

BENKI YA NBC YAUNGANA NA WIZARA KUINUA WASANII KIUCHUMI

ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

RelatedPosts

Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.
NEWS

by iamkrantz
September 6, 2023
0

  Vodacom M-Pesa na Precision Air waemingia ushirikiano ambao utawawezesha wateja kukata tiketi ya ndege kupitia applikesheni ya M-Pesa Super...

Read more
NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

September 6, 2023
Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

August 29, 2023
NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

August 22, 2023
Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

August 21, 2023
USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

August 17, 2023
Load More
Next Post
BENKI YA NBC YAUNGANA NA WIZARA KUINUA WASANII KIUCHUMI

BENKI YA NBC YAUNGANA NA WIZARA KUINUA WASANII KIUCHUMI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
Benki Ya NMB Yaendelea Kuwa Kinara Wa Ufanisi Nchini Tanzania

July 29, 2022
WAZIRI MCHENGERWA AZINDUA BOTI YA KITALII YA TAWA SEA CRUSIER

March 16, 2023
KISA ;Mke aliyenikimbia kisa sina fedha arejea mwenyewe na kuomba msamaha!

September 15, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
KISA ;Mke aliyenikimbia kisa sina fedha arejea mwenyewe na kuomba msamaha!

KISA ;Mke aliyenikimbia kisa sina fedha arejea mwenyewe na kuomba msamaha!

September 15, 2023
Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In