Simba SC imetangaza rasmi kumsajili Kiungo wa Kati Fabrice Ngoma kwa mkataba wa miaka miwili.
Raia huyo wa DR Congo amejiunga na Simba SC akitokea Klabu ya Al-Hilal ya Sudan.
Licha ya kuwa hapo awali kuwepo na migongano ya kuhusishwa na kujiunga na Yanga ambayo ni mhasimu mkubwa wa Simba SC katika Soka la Bongo, Leo rasmi utata kupitia tetesi umemalizwa kwa kujua ni sasa Fabrice Ngoma ni Mchezaji wa Simba kwa muda wa miaka miwili.
#KoncepttvUpdates