Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule (kati kati) akiongea wakati wa kutangaza kukamilika kwa maandalizi mbio za NBC Dodoma Marathon 2023 . Kushoto ni kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi na kulia ni mkuu wa wilaya YA Dodoma mjini Jabir Shekimweri. Mbio hizo zinalenga kukusanya shilingi milioni 500 kwa ajili ya kusaidia mapambano dhidi ya kansa ya shingo ya kizazi nan a kusomesha wakunga ili kupunguza vifo vinavyotokana na uzazi
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule akipokea jezi ya NBC Dodoma Marathon 2023 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi ikiwa ni maandalizi ya kushiriki mbio za mwaka huu zitakazofanyika Jumapili, Julai 23. Wanaoshuhudia kushoto ni Hapiness Kizigira kutoka NBC na wa kwanza kulia ni DAS wa wilaya ya Dodoma Sakina Mbugi akifuatiwa na mkuu wa wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule (katikati) akionyesha jezi zitakazotumika katika mbio za NBC Dodoma Marathon 2023 akiwa na mkurugenzi mtendaji wa NBC Theobald Sabi pamoja na viongozi wa mkoa wa Dodoma ikiwamo Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri. Mbio hizo zinalenga kukusanya shilingi milioni 500 kwa ajilya kusaidia mapambano dhidi ya kansa ya shingo ya kizazi nan a kusomesha wakunga ili kupunguza vifo vinavyotokana
Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.
Vodacom M-Pesa na Precision Air waemingia ushirikiano ambao utawawezesha wateja kukata tiketi ya ndege kupitia applikesheni ya M-Pesa Super...
Read more