Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu amesema Serikali kupitia Wizara ya Afya imempa ajira ya mkataba Mariam Mwakabungu (25) kama sehemu ya kuthamini mchango wake kwa kujitolea kuokoa maisha ya Watoto wachanga (Njiti) waliokimbiwa na Mama zao.
Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.
Vodacom M-Pesa na Precision Air waemingia ushirikiano ambao utawawezesha wateja kukata tiketi ya ndege kupitia applikesheni ya M-Pesa Super...
Read more