Mmiliki wa mtandao wa Twitter, Elon Musk @elonmusk amesema wanapanga kubadilisha nembo ya Mtandao huo kutoka kwenye ndege wa bluu, kuwa herufi ‘X’, kuashiria mageuzi makubwa yaliyofanyika tangu alipoununua mtandao huo. . Ikumbukwe kuwa Bilionea huyo anayemiliki makampuni mbalimbali ikiwemo SpaceX, mnamo oktoba 2022, alituma ujumbe kupitia Twitter, kuwa kununua mtandao huo ni kuongeza kasi ya kuunda ‘X’. . Musk ametajwa kuwa na historia ndefu na herufi hiyo, kwani mnamo mwaka 1999 alianzisha kampuni ya huduma za kifedha iliyojulikana X.com, ambayo kwa sasa inajulikana kama PayPal.
Mke asimulia kwa uchungu Karaha alizopata kwenye Ndoa yake..SOMA KISA KIZIMA HAPA
Mume alikuwa anakula Tunda mara moja kwa wiki ila sasa ni kila siku jamani! Jina langu ni Anna, tulifunga ndoa...
Read more