Kupitia Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) imeripotiwa kuwa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolkea adhabu ya kufungiwa kusajili Fountain Gate FC.
Kufuatia klabu hio kutekeleza wajibu wa kumlipa aliyewahi kuwa wao kipindi cha nyuma Ahmed El Faramawy Yousef Mostafa Soliman.
Ikumbukwe kuw hapo awali Kocha huyo raia wa Misri aliishitaki FIFA klabu hio kwa kuvunja mkataba kinyume na utaratibu.
#KonceptTvUpdates