• Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Tuesday, September 26, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

    NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

    NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

    Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

    USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

BENKI ya NMB na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wamezindua ushirikiano wa kibiashara wa mifumo ya malipo ya tiketi za ndege ‘Anga Rafiki

iamkrantz by iamkrantz
August 16, 2023
in Uncategorized
Reading Time: 2 mins read
A A
0
BENKI ya NMB na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wamezindua ushirikiano wa kibiashara wa mifumo ya malipo ya tiketi za ndege ‘Anga Rafiki
0
SHARES
6
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Mhandisi Ladislaus Matindi (wa pili kushoto), wakionyesha mfano wa ndege kuashiria uzinduzi wa mfumo wa malipo ya tiketi za ndege kupitia matawi, mawakala wa NMB katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam Agosti 16, 2023. Kushoto ni Afisa Mkuu wa Fedha wa ATCL, Jamal Kiggundu na kulia ni Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi. (Na Mpiga Picha Wetu).

BENKI ya NMB na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wamezindua ushirikiano wa kibiashara wa mifumo ya malipo ya tiketi za ndege ‘Anga Rafiki – Tiketi Yako Imebima,’ unaowapa fursa wasafiri wa kulipia tiketi kupitia matawi, mawakala na huduma za NMB Mkononi App, ambazo zitakuwa zimekatiwa Bima ya Safari moja kwa moja.

Ushirikiano huo umezinduliwa Makao Makuu ya NMB jijini Dar es Salaam leo Jumatano Agosti 16, ambako msafiri atakayelipia tiketi za safari za ndani ya nchi kupitia NMB, atakatiwa bima ya maisha, ulemavu ama upotevu wa mizigo safarini, ambapo atalipwa hadi Sh. Mil. 5 za Kitanzania itapotokea mteja kufariki dunia.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Afisa Mtendaji Mkuu (CEO), Ruth Zaipuna, alisema kwamba, kupitia matawi 229 na mawakala zaidi ya 21,000, wasafiri nchini wanaenda kufikiwa kirahisi kuwezesha upataji tiketi na kwa wateja wa benki hiyo wanazo njia za ziada za kulipia tiketi hizo kwa simu ya mkononi kupitia USSD na NMB App.

“Ni imani yetu sisi NMB kwamba, huduma hii sio tu inaenda kumpa urahisi na wepesi msafiri wa kulipia tiketi yake, bali kumkinga pia na majanga yatokanayo na safari kama ulemavu, kifo na upotevu wa mizigo.

“Mteja akilipia tiketi ya ATCL kupitia NMB, ikatokea akafariki – ingawa hatuliombei hilo, ama kupata ulemavu akiwa safarini, yeye ama wategemezi wake watalipwa hadi Sh. Milioni 5.

“Na iwapo mzigo (checked in Baggage) wa msafiri utapotea, mteja wetu atalipwa Shilingi 300,000, lakini pia ikiwa safari itasogezwa ama kuahirishwa, atalipwa Shilingi 150,000. Bima hizi tutazilipa kupitia washirika wetu Kampuni ya Reliance Insurance,” alifafanua Zaipuna.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Mhandisi Ladislaus Matindi, aliipongeza NMB sio tu kwa ushirikiano wao huo, bali kuweka ziada ya Bima ya Safari kwa wateja wao, huku akibainisha kwamba hakuna tena sababu ya Watanzania kusafiri kwa hofu wakati kuna ATCL na NMB.

“ATCL kila siku tumejikita katika kuboresha utoaji huduma zetu, kuanzia tiketi inapokatwa, mteja anapokuwa safarini hadi kufika, hivyo tunajivunia ushirikiano wetu na NMB, ambao unaenda kututofautisha na watoa huduma za usafiri wa anga wengine waliopo sokoni.

“Ni ushirikiano unaoenda kumaliza kabisa hofu ya upatikanaji tiketi za safari na usalama wa abiria wetu na mali zao wawapo safarini, hii ni kutokana na ziada zilizowekwa na NMB kwa abiria watakaolipia kupitia mtandao wao mpana wa matawi, mawakala na huduma za NMB Mkononi kama alivyotangulia kusema CEO Zaipuna,” aliongeza Matindi.

Matindi alienda mbali zaidi na kuishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kila aina ya uwezeshaji inaowapa katika kutoa huduma kwenye Sekta ya Usafiri wa Anga kitaifa na kimataifa, ambako kufikia mapema mwakani watatanua mtandao wa ndege zao kufikia 16.

Aliitaka NMB kujiweka tayari kuhudumia wateja wa ndege zao hizo, ikiwamo kujenga mazingira ya kuongeza chachu ya usafirishaji wa mazao na bidhaa za ndani kwenda nje ya nchi, huku akimaliza kwa kuhoji kwanini abiria wasafiri kwa hofu wakati kuna ushirikiano chanya mfano wa huo wa Shirika lake na benki hiyo.

Mwishoo

ADVERTISEMENT
Previous Post

NMB yapata heshima kubwa ya Superbrands

Next Post

Mtu huyu amewezesha watu wengi kuwa matajiri!

iamkrantz

iamkrantz

RelatedPosts

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!
Uncategorized

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

by iamkrantz
September 25, 2023
0

Tuliishi pamoja na mume wangu Kibet katika kaunti ya Lamu ambapo nilifanya kazi ya udaktari katika hospitali moja ya kibinafsi...

Read more
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
KISA ;Mke aliyenikimbia kisa sina fedha arejea mwenyewe na kuomba msamaha!

NMB yawa benki ya tatu kwa faida Afrika Mashariki

September 11, 2023
Load More
Next Post
Mtu huyu amewezesha watu wengi kuwa matajiri!

Mtu huyu amewezesha watu wengi kuwa matajiri!

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
MILIKI BODA BODA NA NMB MASTA BATA KOTE

MILIKI BODA BODA NA NMB MASTA BATA KOTE

November 18, 2022
WAZIRI MCHENGERWA AZINDUA BOTI YA KITALII YA TAWA SEA CRUSIER

March 16, 2023
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In