• Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Tuesday, September 26, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
Advertisement
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

    NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

    Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

    NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

    Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

    USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.

iamkrantz by iamkrantz
September 6, 2023
in NEWS, SPORTS
Reading Time: 3 mins read
A A
0
Wateja wa Precision Air kukata tiketi kupitia M-Pesa Super App.
0
SHARES
1
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Vodacom M-Pesa na Precision Air waemingia ushirikiano ambao utawawezesha wateja kukata tiketi ya ndege kupitia applikesheni ya M-Pesa Super App na kufurahia punguzo la bei mpaka 20% kwa bei ya tiketi ya kawaida. Ushirikiano huo umepewa nguvu na TripSiri, kampuni ya usafiri na teknolojia ya Tanzania ambayo inalenga kurahisisha huduma ya ukataji wa tiketi kupitia M-Pesa Super App.

Akizungumza na waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi huo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa M-Pesa, Bw. Epimack Mbeteni amesisitiza suhirikiano huu unaonyesha kujizatiti kwao kuifanya M-Pesa kuwa sehemu ya Maisha ya kidigitiali ya kila mtu ikiwezesha manunuzi na malipo ya bidhaa na huduma muhimu zinazotumiwa na Watanzania katika maisha yao ya kila siku zinapatikana kwenye simu zao za mkononi.

“Tunayo furaha kuwakaribisha Precision Air kujiunga na familia ya watoa huduma wanaokaribia 20 katika mtandao wetu mpana wa M-Pesa. Kupitia ushirikiano huu, wateja hawatohitajika tena kutembelea ofisi au tovuti zao kwa ajili ya kukata tiketi za ndege. Tumewarahisishia zoezi hilo na sasa wanaweza kufanya hivyo kwa kupitia aplikesheni ya M-Pesa inayopatikana katika simu zao za mkononi. Kwa kuongezea, watanufaika na punguzo la 20% kwa kukata tiketi ikiwa ni faida ya kutumia mtandao wetu. Malengo yetu ni kuwajengea wateja na Watanzania utamaduni wa kufanya malipo na manunuzi yao kwa usalama na uharaka pamoja na kuwarahisishia kutunza kumbukumbu zao za kifedha kwasababu kupitia M-Pesa unaweza kuzipata taarifa zote za manunuzi unayoyafanya,” alielezea Bw. Mbeteni.

M-Pesa imeleta mapinduzi katika manunuzi na malipo ya huduma na bidhaa kutoka kwa mamia ya wafanyabiashara mbalimbali Tanzania kupitia simu za mkononi. Tangu kuanza kuwahudumia Watanzania kwa miaka 15 sasa, imekuwa ni chachu katika maendeleo ya shughuli za kibenki na kifedha na kupunguza pengo kwa watu ambao bado hawajaunganishwa na mifumo hiyo.

Bw. Mbeteni aliongezea kuwa, “mbali na kuwezesha malipo, pia tunalenga kuwarahisishia wafanyabiashara shughuli zao kwa kuwaleta karibu zaidi na wateja. Jukwaa la M-Pesa limekuwa kama soko ambalo mteja akiingia ana uwezo wa kuchagua mahitaji yake ya siku, akalipia, akatoka na kuendelea na shughuli zake zingine. Teknolojia imekuja kuondoa adha ya watu kuepukana na kutembea umbali mrefu na kupoteza muda ambao wangeuwekeza katika shughuli nyingine shukrani kwa washirika wetu kama vile TripSiri ambao wamelifanikisha hili. Tutaendelea kutumia fursa zinazotokana na ushirikiano kama ambao tumeutangaza leo kama njia mojawapo ya kuongeza huduma na bidhaa nyingi zaidi. Tunatumaini kama taifa, hivi karibuni tutafikia hatua ambayo mtu hautohitaji kuwa na pesa taslimu ili kuhudumiwa sehemu yoyote.”

Kwa upande wake Meneja wa Masoko na Mawasiliano wa Precision Air, Hillary Mremi alisema kuwa, “tunajivunia kufanikisha ushirikiano wetu na M-Pesa, huduma ambayo imekuwa ikitumiwa na kuaminiwa na Watanzania kwa muda mrefu. Kujiunga kwetu na familia hii kutawarasishia wateja wetu na zaidi ya milioni 17 ambao wamo tayari ndani ya mtandao huu kutosumbuka tena kuja ofisini kwetu au kutembelea tovuti ndipo wakate tiketi ya ndege. Ningependa kuchukua fursa hii kuwahikikishia kuwa huduma ambayo wataipata katika mtandao huu ni sawa ambayo watakuja katika ofisi zetu. Maana kumekuwepo na hofu kwamba mteja anaweza akakata tiketi kisha akakataliwa kusafiri. Suala hilo si la kweli kwasababu kilichobadilika hapa ni urahisi wa upatikanaji wa huduma zetu.”

Kwa kumalizia Mkurugenzi wa TripSiri, Bw. Gaurav Dhingra alimalizia kwa kusema, “Tumefurahi kushirikiana na Vodacom M-Pesa kutumia teknolojia yetu na uzoefu katika sekta ya usafiri kuwarahisishia zaidi huduma wateja wa M-Pesa na Precision Air. Huu ni mwanzo tu wa kufanikisha dhamira yetu ya kuleta mabadiliko ya sekta ya usafiri wa anga nchini Tanzania kwenye Nyanja tofauti, na ushirikiano huu ni hatua nzuri ya mwelekeo wan jia tunayokwenda.”

Ukiachana na urahisi na usalama wa kutuma na kutoa pesa katika aplikesheni ya M-Pesa mteja amewezeshwa kufanya malipo na manunuzi ya huduma mbalimbali zikiwemo usafiri, ada, faini, maji, LUKU, ving’amuzi, malipo ya serikali, bima, mafuta, na nyinginezo nyingi zaidi.

Mwisho.   

ADVERTISEMENT
Previous Post

NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

Next Post

Nimeteseka sana na mpenzi ila nimepata tulizo la moyo!

iamkrantz

iamkrantz

RelatedPosts

NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo
NEWS

by iamkrantz
September 6, 2023
0

        Na Mwandishi Wetu Wakulima wadogo wana mchango mkubwa katika kuhakikisha utoshelevu na uhakika wa chakula nchini...

Read more
Mke asimulia kwa uchungu Karaha alizopata kwenye Ndoa yake..SOMA KISA KIZIMA HAPA

August 30, 2023
Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- inayojengwa na NMB

August 29, 2023
NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

August 22, 2023
Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

Rais Samia aipa cheti NMB cha mlipa gawio mkubwa

August 21, 2023
USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

USAID and Jane Goodall Institute Tanzania Join Forces with $29.5 Million Agreement to Empower Gombe Communities

August 17, 2023
Load More
Next Post
Nimeteseka sana na mpenzi ila nimepata tulizo la moyo!

Nimeteseka sana na mpenzi ila nimepata tulizo la moyo!

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
MECHI 3 ATAZOZIKOSA AZIZI KI

MECHI 3 ATAZOZIKOSA AZIZI KI

November 8, 2022
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
MILIKI BODA BODA NA NMB MASTA BATA KOTE

MILIKI BODA BODA NA NMB MASTA BATA KOTE

November 18, 2022
WAZIRI MCHENGERWA AZINDUA BOTI YA KITALII YA TAWA SEA CRUSIER

March 16, 2023
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!

September 25, 2023
Asimulia namna alivyomtuliza mke wake aliyekuwa anatoka nje ya Ndoa

September 21, 2023
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika

September 19, 2023
Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

September 15, 2023
Facebook Twitter Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In