“Ufaulu kwa somo la Basic Mathematics umeendelea kuwa chini ya wastani kwa mwaka 2023 kama ilivyokuwa mwaka 2022. Hata hivyo, ufaulu wake umeendelea kuimarika mwaka huu na kufikia asilimia 25.42 kutoka asilimia 20.08 ya mwaka 2022.” – Dkt. Said Mohamed, Katibu Mtendaji wa NECTA
#KonceptTvUpdates