Mohamed Said, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo usiku wa kuamkia leo Januari 26, 2024, huku akisema ameamua kuchukua uamuzi huo japo sio rahisi kwa kile alichokitaja kuwa mazingira sio rafiki katika kutekeleza jukumu muhimu kwa ustawi wa wananchi.
#KonceptTvUpdates