Msanii wa Nchini Kenya Willy Paul amefunguka kuwa hajaenda kanisani tangu 2017 kisa kanisa lilimfanyia kitu kibaya.
“Sijaenda Kanisani Tangu 2017, Kwa Sababu Kanisa Lilinifanyia Kitu Kibaya. Lakini Jana Nilihudhuria Ibada Ya Kanisa Embakassi Na Najisikia Kufarijika Sana 😌. Utakuwa Mwaka Wa Ajabu Coz Nimeanza Wangu Kanisani !!”
Kwa mtazamo wako unaona Msanii Willy Paul alikuwa Sahihi kuchukua uamuzi huo kiimani!!” -Ameandika Willy Paul
#KonceptTvUpdates