Mahakamma ya Wilaya Mkuranga imemhukumu Kwenda jela miaka 30 Khalifani Jongo (32) mkazi wa Mindevu Vianzi kwa kosa la kumlawiti Mwanafunzi wa miaka (11) baada ya kwenda nyumbani kwao na kuwaomba wazazi wa mtoto huyo akalale naye kwani familia yake wamesafiri hivyo atakuwa mpweke.
Imeelezwa kuwa mtuhumiwa alimlawiti mtoto huyo usiku baada ya kumuonyesha picha za utupu kupitia Televisheni.
Kesi ilisikilizwa na upande wa mashitaka ulileta mashahidi wanne ambao walithibitisha kosa na mtuhumiwa alitiwa hatiani.
Cc;Nipashe
#KonceptTvUpdates