RASMI: Klabu ya Al Ittihad Tripoli ya nchini Libya imethibitisha kumsajili mchezaji wa zamani wa Simba SC Jean Baleke raia wa DR Congo kwa mkopo miezi 6 kutoka klabu ya TP Mazembe.