Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji, (EWURA) imetangaza beiĀ Kikomo ya bidhaa za mafuta ya Petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia jumatano, tarehe 7 Februari 2024 saa 6:01 usiku.
Kwa mwezi Februari 2024, bei za rejareja na za jumla katika Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni kama ifuatavyo;
Ukianza na bei kikomo za rejereja;
Kwa Mkoa wa Dar es Salaam – bei kikomo za rejareja (Shilingi/Lita) Petroli 3,051 Dizeli ni 3,029 Mafuta ya Taa ni 2,840 Kwa Mkoa wa Tanga Petroli ni 3,064 Dizeli 3,196 Mafuta ya Taa 2,886 Kwa mkoa wa Mtwara Petroli ni 3,112 Dizeli 3,354 Mafuta ya Taa 2,913.
kwa Bei kikomo za jumla ni kama ifuatavyo;
Kwa Dar es Salaam 2,919.09 Dizeli 2,897.34 Mafuta ya Taa 2,709.68 Kwa Tanga Petroli 2,932.07 Dizeli 3,063.31 Kwa Mtwara PetroliĀ 2,980.37 Dizeli 3,220.96
#KonceptTvUpdates