Rais wa zamani wa Chile aliyehudumu kwa mihula miwili, Sebastián Piñera (74) amefariki kufuatia ajali ya helikopta iliyoanguka katika ziwa lililopo karibu na Mji wa Lago Ranco huku Watu watatu waliokuwa ndani ya helikopta hiyo wakinusurika
Helikopta husika ilikuwa ni mali ya Pinera na bado hakuna uthibitisho rasmi kuwa nani aliyekuwa rubani wakati wa ajali hiyo
Wakati wa uhai wake, alisifiwa kwa ukuaji wa haraka wa uchumi katika Awamu ya Kwanza ya Utawala wake Mwaka 2010 hadi 2014, Muhula wake wa Pili Mwaka 2018 hadi 2023, ulikumbwa na machafuko mengi ya kijamii
Cc;JAMII FORUMS
#KonceptTvUpdates