Timu ya Taifa ya Ivory Coast yaibuka Bingwa wa Michuano ya Fainali AFCON 2023 baada ya kuifunga Timu ya Taifa ya Nigeria kwenye mchezo wa Fainali kwa magoli 2-1.
Ivory Coast inafakiniwa kubakisha kombe hilo wakiwa Wenyeji wa Michuano hio huku wakiwa na rekodi ya kutwaa taji hilo hapo awali.
Timu hiyo inatwaa taji ikitokea nafasi ya Best Looser, hivyo imedhihirisha uwezo mkubwa licha ya kupoteza nafasi ya kutinga moja kwa moja kupitia pointi nyingi zaidi kwenye hatua ya makundi.
Full Time’ | #AFCON2023Final
Nigeria 1-2 Ivory Coast
Ekong Dk 37’ /Vs Kessie Dk 62’,
Haller Dk 78′