KAMPUNI ya Mawasiliano Nchini, Vodacom Tanzania imeshinda Tunzo Tatu (3) za Huduma Bora kwa Wateja Nchini kwa Mwaka 2023 Zilizoandaliwa na Kutolewa na Chartered Institute of Customer Management(CICM) Mwishoni mwa Wiki Jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja na Kidigitali wa Vodacom Tanzania, Belinda Wera (kushoto) akiwa na Meneja wa Makusanyo, Charles Daniel wakiwa wameshikilia vyeti walivyokabidhiwa baada ya kushinda tunzo za Annual Tanzania Service Excellence Awards 2024 zilizoandaliwa na Chartered Institute of Customer Management (CICM) mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo ilishinda vipengele vya kitengo cha utoaji wa huduma bora kwa wateja (mshindi), mtandao bora wa huduma za mawasiliano na intaneti (mshindi wa pili), na uwajibikaji kwa shughuli za kijamii (mshindi wa pili). Mkurugenzi wa Biashara ya Kimataifa na Diplomasia ya Uchumi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi John Ulanga (Kushoto) akiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhi cheti kwa Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja na Kidigitali wa Vodacom Tanzania, Belinda Wera (wa pili kushoto) wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Annual Tanzania Service Excellence Awards 2024 zilizofanyika jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo ilishinda vipengele vya kitengo cha utoaji wa huduma bora kwa wateja (mshindi), mtandao bora wa huduma za mawasiliano na intaneti (mshindi wa pili), na uwajibikaji kwa shughuli za kijamii (mshindi wa pili).Mkurugenzi wa Biashara ya Kimataifa na Diplomasia ya Uchumi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi John Ulanga (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhi cheti kwa Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja na Kidigitali wa Vodacom Tanzania, Belinda Wera (wa pili kushoto) na Meneja wa Makusanyo, Charles Daniel (wa tatu kushoto) wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Annual Tanzania Service Excellence Awards 2024 zilizofanyika jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo ilishinda vipengele vya kitengo cha utoaji wa huduma bora kwa wateja (mshindi), mtandao bora wa huduma za mawasiliano na intaneti (mshindi wa pili), na uwajibikaji kwa shughuli za kijamii (mshindi wa pili). Wageni mbalimbali wakiwa katika hafla ya utoaji tuzo za Annual Tanzania Service Excellence Awards 2024 zilizoandaliwa na Chartered Institute of Customer Management (CICM) na kufanyika jijini Dar es Salaam. Kampuni ya Vodacom Tanzania ilishinda vipengele vya kitengo cha utoaji wa huduma bora kwa wateja (mshindi), mtandao bora wa huduma za mawasiliano na intaneti (mshindi wa pili), na uwajibikaji kwa shughuli za kijamii (mshindi wa pili). Wageni mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Annual Tanzania Service Excellence Awards 2024 zilizoandaliwa na Chartered Institute of Customer Management (CICM) na kufanyika jijini Dar es Salaam. Kampuni ya Vodacom Tanzania ilishinda vipengele vya kitengo cha utoaji wa huduma bora kwa wateja (mshindi), mtandao bora wa huduma za mawasiliano na intaneti (mshindi wa pili), na uwajibikaji kwa shughuli za kijamii (mshindi wa pili).
-MWISHO-