Rais wa Jmuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan amefanya teuzi tisa ikiwemo kuteua Mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Wakuu wa Wilaya za Lushoto na Pangani, Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri na Makatibu Tawala.
Aidha, Rais Samia amefanya uhamisho kwa Wakurugenzi Watendaji watatu wa Halmashauri.