Jumba la kifahari lililo juu ya jengo refu la Bangalore katika jiji la India limevutia macho ya wengi sana, sio tu kwa muundo wake wa kupendeza na kwa kua ya kifahari, lakini pia kwa sababu mmiliki wa nyumba hiyo kubwa hana mpango wa kuitumia.
Jumba hilo lenye thamani ya dola milioni 20 limekaa juu ya bamba kubwa la cantilever juu ya jengo refu katika jumba la kifahari la rejareja na ofisi la UB City na limejengwa juu ya eneo la ekari 4.5 ambalo hapo awali lilikuwa na nyumba ya mababu wa mmiliki.
Cc;#UNILAD
#KonceptTvUpdates