Msanii na DJ aliyejizolea umaarufu Mitandaoni kupitia Muziki wa Singeli akiwa na Wazee wa Mikoti, Miso Misondo amejitafuta na ameanza Kujipata, sasa amevuta ndinga mpya ALPHARD chap, kifuta jasho kama pongezi kwake.
Miso misondo amewavutia wadau wengi wa Sanaa ya Muziki kutokana na Staili yake ya Kuchanganya nyimbo tofauti na kuleta radha ya kipekee huku pia miondoko ya uchezaji wao (Wazee wa Mikoti) anaoshirikiana nao umewapa umaarufu zaidi kwa kuwa habari ya mjini.
#KonceptTvUpdates