Jamaa aliyenaswa kwenye picha aliiba simu Jumatatu tarehe 18 Machi 2024, katika eneo kati ya Morocco na Makumbusho jijini Dar es Salaam.
Sura ya mwizi huyo ilinaswa na kamera ya simu wakati wa tukio. Mwizi alitumia bodaboda wakati wa tukio la wizi.
Simu: Aina ya simu ni One Plus, na nyuma yake imepasuka kidogo.
Zawadi itatolewa kwa mtu atakayemtambua mtuhumiwa huyu:
Wasiliana na namba 0679518517 (whatsapp) iwapo una taarifa za mtuhumiwa au za simu hii.
#Simu #Thief #Viral #Explore
#KonceptTvUpdates