Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango awataka wataalam wa Wizara ya Uchukuzi, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, na Kampuni ya Uendeshaji na Usimamizi wa Kiwanja cha Ndege cha Kilimanjaro kutazama upya suala la ukomo wa kuwahamisha wananchi Waliolipwa fidia kupisha eneo la Kiwanja cha Ndege cha Kilimanjaro.
Dkt. Mpango amesema hayo wakati alipokuwa katika Ziara Mkoani Kilimanjaro 20/3/2023.
#KonceptTvUpdates