Msanii na Dancer ambaye ame-trend sana Mitandaoni kupitia uimbaji wake wa Muziki wenye vionjo vya Amapiano, Chino Kidd amenunua gari mbili, ambazo ni BMW na JEEP huku akitaja JEEP kuwa ndio gari la ndoto yake ya muda murefu kutaka kulimiliki.
Wadau na mashabiki zake wengi wameibuka kwa kumpongeza kwa hatua aliyofikia huku baadhi wakiuliza maswali kuwa kweli muziki pekee ndio umemfanya amiliki pesa za kuweza nunua gari hizo.
Kupitia ukurasa wake Instagram Chino amefunguka kwa kuandika ujumbe mzito ambao hasa amegusia kwa kuwahasa vijana wenzake;
“HERI YA MFUNGO WA RAMADHANI NDUZANGU WAISLAM NAIMANI MNAENDELEA SALAMA SANA NA MFUNGO WA RAMADHANI KARIMM NIPO HAPA LEO KUWAJUZA JAMBO KIDOGO LAKINI KUWASHURU SANA KWA HII HATUA COZ KILA BINADAMU ANAPOZALIWAA KUTOKA TUMBONI KWA MAMAAKE ANAVYOANZA KUKUA NA KUANZA KUPAMBANIA MAISHA YAKE ANAANZA KUWA NA NDOTO ZAKE SO MI NI MOJA KATI YA KIJANA AMBAE NINA NDOTO ZANGU KUBWA SANA NA NAAMINI KWA ASILIMIA 80% WATU WALIONIZUNGUKA HAPAHAPA NCHINI TANZANIA WALIKUWA WAKISHUHUDIA NA NI MASHAHIDI WA HASO ZANGU TANGU NIKIWA KIJANA MWIZI FUKARA MPAKA KUANGUKIA KUWA DANCER NA NOW MWANAMZIKI AMBAE NIPO KWENYE NAFASI NZURI ZUMUNI LA KUAMBIA HAYA NI KUJARIBU KUWATIA MOYO VIJANA WENZANGU NA KUWATOA KATIKA IMANI POTOFU KWA BAADHI YA MAMBO YANAYOENDELEA MTANDAONI NA SITAKI KUWA MDANGANYIFU KWAO COZ NAJUWA NIPO NA VIJANA WENZANGU WENGI SANA WANAO NIANGARIA NA KUFATA NINACHOFANYA SO NACHOWEZA KUAAMBIA CHINO HAJAWAHI KUWA MCHAWI HAJAWAHI KUFANIKIWA KUPITIA NJIA NYINGINE YEYOTE ISIYOMPENDEZA MWENYEZI MUNGU OU SERIKALI YAKE NI KIJANA MVUMILIVU MSIKIVU HEKIMA JUHUDI NA MWENYE KUPENDA WATU NA MWENYEZI MUNGU HIZO NDIO NGUZO ZANGU KWENYE MAISHA ZINAZONIFANYA NIWE HAPA NILIPO NA SI KITU KINGINE CHOCHOTE ASANTE KWA BARAKA ZENU MMENIFANYA NIWE NA THAMANI MMENIHESHIMISHA NA NOW NIMEWEZA KUKAMIRISHA MOJA KATI YA GARI YA NDOTO YANGU MUNGU HAZIDI KUWA BARIKI NA NAWAPENDA WOTE MNAOTUSUPPORT NA TUNAWAHESHIMU SANA TWO TOY IN TOWN ππππππππππ
#myΒ DREAM CAR JEEP” ameandika Chino Kidd
#KonceptTvUpdates