#UTAFITI; Utafiti mpya umegundua kuwa watu ambao hukesha hadi usiku sana wakifanya kazi zao (maarufu kam bundi wa usiku) na kuamka baadaye mchana, huwa na akili ya kuzidi ikilinganishwa na wanaoamka mapema.
Utafiti kutoka Chuo cha Imperial London na Chuo Kikuu cha Madrid umeonyesha kuwa wakeshaji huwashinda uwezo wenzao wanaokua mapema katika kazi za utambuzi kama vile kufikiri, kumbukumbu, na nyakati za majibu.
Utafiti unapendekeza kuwa kupotoka huku kutoka kwa mawazo ya kitamaduni kunaweza kuhusishwa na IQ za juu, huku watu wenye akili wakirekebisha ratiba zao ili kuongeza saa zao za uzalishaji na ubunifu usiku sana.
Je wewe unakubaliana na ajenda hii ya utafiti?
Comment kuhusiana na hili!!
Cc;Wealth
#KonceptTvUpdates