Jisajili sasa kwenye #CrdbInternationalMarathon2024 uwe sehemu ya kasi isambazayo tabasamu. Kama bado haujajisajili, muda ni sasa. Tembelea tovuti ya http://crdbbankmarathon.co.tz ukamilishe usajili wako. Kwa Tanzania, malipo ya mtu mmoja ni shilingi 45,000 na kikundi cha kuanzia watu 30 ni shilingi 40,000 kwa kila mmoja. Kama tayari umejisajili unaweza kuwasaidia ndugu, jamaa na marafiki zako nao wawe sehemu ya kusambaza tabasamu kwa kuwapaa tovuti ya #CRDBBANKPLC.
Mwaka huu mbio hizi zitafanyika katika mataifa matatu yaani Tanzania 🇹🇿, Burundi 🇧🇮 na DR Congo 🇨🇩. Karibu uungane nasi kusambaza tabasamu linalotuvusha mipaka na kugusa maisha ya wenye uhitaji na ustawi wa jamii kwa ujumla.
crdbbankplc
#KasiIsambazayoTabasamu #TabasamuLimevukaMipaka #crdbbankmarathon
Powered by @kobemotor @acbtanzania_ @vodacomtanzania @hisense_tanzania_official @betpawatanzania @wearekerry
#KonceptTvUpdates