Huu ni usiku wa @cheka.tu uliyofanyika jana mjini Dodoma ambapo @sbltanzania Breweries kupitia chapa yake ya Captain Morgan ndio mdhamini mkuu wa matukio yote ya burudani katika kuelekea siku ya mbio za NBC Dodoma Marathon.
@serengetibeer @nbc_tanzania
Powered by @kobemotor @acbtanzania_ @vodacomtanzania @hisense_tanzania_official @betpawatanzania