Timu ya Soka la Ufukweni(Beach Soccer) Tanzania imetwaja kuwa miongoni mwa timu nane zilizofuzu kushiriki michuano ya Beach Soccer AFCON 2024 huko Misri.
Hatua hii inaifanya timu hiyo iweze kuiandikia Tanzania historia nzuri katika Soka la Ufukweni.
#KonceptTvUpdates