Klabu ya Azam FC nayo imekataa ukimya kwa kuamua kutambulisha jezi zao mpya za kutumika takiaka msimu wa soka 2024/25.
Wanalambalamba hao, matajiri wa viunga vya Chamazi wanakuwa wa tatu miongoni wa vigogo wa soka Tanzania katika kutambulisha jezi mpya za msimu mpya baada ya myama Simba SC na Wanajangwani Young Africans.
#KonceptTvUpdates