Wananchi na wakazi wa Dodoma walipotembelea banda la Serengeti Breweries Limited kwenye maonyesho ya nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo katika sekta ya kilimo na hasa kwenye kuwainua wakulima kiuchumi katika kununua mazao yao kama malighafi ya utengenezaji wa bia