Kufuatia maneno mengi ambayo yamekuwa yakizungumzwa katika mitandao ya kijamii baada ya Msanii @Harmonize_tz na Mrembo maarufu @PoshyQueeen kuweka wazi kuwa wamezama penzini, Poshy ameamua kufunguka kuhusu story za yeye kuwahi kutoka kimapenzi na @DjSevenWorldwide ambaye amewahi kuwa Dj rasmi wa Harmonize hapo awali.
Kupitia Insta Story Poshy ameandika “Sikuwahi lizungumzia hili, lakini nadhani kwa wakati huu kwa ajili yangu na mpenzi wangu, kwa dhati kabisa sijawahi wakati wowote maishani kuchumbiana na Seven. alikuwa ni rafiki na tumefanya kazi pamoja anaujua ukweli, mimi sio mjinga kiasi hicho, naomba umheshimu mtu wangu acheni drama”#KonceptTvUpdates